728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, July 12, 2016

    Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.

     
    Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya ndani wa Uingereza, Theresa May, atatangazwa kinara mpya wa chama cha Conservative, na waziri mkuu mpya wa Uingereza.

    Hii ni baada ya mpinzani wake mkuu katika kinyanganyiro ya kuwania kiti cha uaziri mkuu mbunge Andrea Leadsom, kujiondoa.

    Andrea Leadsom ameamua kumuunga mkono mpinzani wake, Theresa May kuwania kiti hicho, huku akisema kuwa anatakiwa kutimiza uungwaji wake mkono wa kujiondoa kwa Uingereza kutoka muungano wa jumuia ya mataifa ya EU na kutoa fursa kupatikana kwa haraka kwa waziri mkuu mpya.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top