728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, June 12, 2016

    ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.



    June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeendelea kama kawaida, mechi kubwa ya Euro kwa leo ilikuwa ni mchezo kati ya timu ya taifa ya England dhidi ya Urusi, huu ni mchezo ambao ulikuwa unatazamwa na watu wengi kwa Afrika.

    England walicheza mchezo ambao hadi dakika 90 zinamalizika walikuwa wanamiliki mpira kwa asilimia 53, wakati Urusi walikuwa wanamiliki mpira kwa asilimia 47, licha ya kuwa England walikuwa wamiliki mpira walilazimishwa sare ya goli 1-1.

    matokeo ya michezo mingine. 

    Kwa hali ya mchezo ilivyokuwa England walikuwa wanaonekana kama wataibuka na ushindi kwani hadi dakika ya 89 walikuwa wanaongoza kwa goli 1-0 lililofungwa na Eric Dier dakika ya 73 kwa faulo, ila hali ilibadilika dakika ya 90 baada ya Vasili Vladimirovich kuisawazishia goli Urusi.

    Tazama Video ya magoli hapa chini.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    1 comments:

    1. Casinos near Casino Wyndham - MapyRO
      Casino Wyndham is 여수 출장안마 the closest casino to Wyndham! 양산 출장마사지 Casino 공주 출장샵 Wyndham is 보령 출장마사지 a luxury hotel and destination located 김천 출장안마 in Wyndham, New York.

      ReplyDelete

    Item Reviewed: ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top