Tuesday, July 12, 2016
Katika saa au siku kadhaa zijazo,
Waziri wa maswala ya ndani wa Uingereza, Theresa May, atatangazwa kinara
mpya wa chama cha Conservative, na waziri mkuu mpya wa Uingereza.
Hii ni baada ya mpinzani wake mkuu katika kinyanganyiro ya kuwania kiti cha uaziri mkuu mbunge Andrea Leadsom, kujiondoa.
Andrea Leadsom ameamua kumuunga mkono mpinzani wake, Theresa May
kuwania kiti hicho, huku akisema kuwa anatakiwa kutimiza uungwaji wake
mkono wa kujiondoa kwa Uingereza kutoka muungano wa jumuia ya mataifa ya
EU na kutoa fursa kupatikana kwa haraka kwa waziri mkuu mpya.
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment