Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuanza Jumamosi Agosti 20, 2016 kwa michezo mitano huku Bingwa Mtetezi wa...
Showing posts with label Sports. Show all posts
Showing posts with label Sports. Show all posts
Friday, August 19, 2016
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
10:20 PM
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada ya mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic kuendelea kuzifumania nyavu za wa...
Sunday, June 5, 2016
Taifa Stars Yazimishwa Mbele Ya Mashabiki Wake Uwanja Wa Taifa
2:07 AM
Timu ya taifa ya Misri imekata tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Gabon, baada ya kuwafunga wenyej...
Wednesday, June 1, 2016
Mbeya City Wanampango wa Kufanya Ziara Nchini Malawi.
5:09 AM
Siku chache baada ya kumalizika kwa ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu wa 2015/16, Ratiba ya mwanzo ya michezo kadhaa ya kirafiki a...
Friday, February 12, 2016
Ajib: Imebaki Yanga tu! Tunaisubiri kwa Hamu.
10:10 PM
WAKATI Simba ikitarajiwa kukipiga na Stand United kesho Jumamosi mkoani Shinyanga, mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib, amesema kuwa ...
Saturday, February 6, 2016
Neville kusononeshwa baada ya Valenci kuadhibiwa na Barcelona.
12:12 AM
Klabu ya Valencia chini ya nyota wa zamani wa Manchester United,Gary Neville ilipokea kichapo cha mwaka kutoka kwa Barcelona katika nusu ...
DANNY WELBECK AGONGA SAA NZIMA ARSENAL IKICHAPA MTU 4-1.(Picha)
12:10 AM
Mshambuliaji Danny Welbeck akiichezea timu ya vijana ya Arsenal chini ya umri wa miaka 21 dhidi ya Brighton Uwanja wa Colney, London. ...
Tuesday, February 2, 2016
CHRIS BROWN HATARINI KUCHUKULIWA MWANAE.
10:27 PM
Mama wa mtoto wa Chris Brown, Nia Guzman, amedai mtoto wake kutoka kwa msanii huyo kwa madai kwamba anamtesa na moshi wa sigara unaomsabab...
ULIMWENGU AANZA KUBEBA MIKOBA YA SAMATTA MAZEMBE.
9:44 PM
WAKATI Mbwana Samatta anatambulishwa rasmi kwa wachezaji wenzake wa KRC Genk na baadaye kufanya nao mazoezi kwa mara ya kwanza leo, pacha...
Monday, January 25, 2016
HATIMAYE KATUMBI AAFIKI SAMATTA KWENDA GENK ANATUA DAR KESHO KWENDA KUANZA MAISHA MAPYA UBELGIJI.
9:55 PM
HATIMAYE bilionea Moise Katumbi Chapwe, Rais wa klabu ya TP Mazembe ya DRC amekubali mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally ...
MADRID YAENDELEA KUKIMBIZA KWA UTAJIRI
4:04 AM
JARIDA la Deloitte limeufahamisha Ulimwengu kuwa Klabu inayotokea nchini Hispania, Real Madrid ndio klabu inayojiingizia mapato mengi ku...
Friday, January 1, 2016
Niyonzima kuondoka na kichwa cha katibu mkuu Yanga.
1:35 AM
Baada ya kutangaza kuvunja mkataba wa kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima, Katibu wa klabu hiyo Dr Jonas Tiboroha sasa amekali...
Manchester city wachezaji waliopo wanatosha Amesema Pellegrin.
1:15 AM
Kocha wa klabu ya Manchester city Mannuel Pellegrin Amekuwa mmoja kati ya Makocha wanaoamini kikosi kilichopo kinamtosha katika mzunguko w...
Karibu Tufungue mwaka 2016 kwa kutazama matukio ya kipuuzi kati ya Mwamuzi na wachezaji yaliyowahi kutokea(Video).
12:13 AM
Habari best wangu wa ukweli najua utakuwa kati ya wale ambao wameukaribisha mwaka 2016 kwa shangwe kubwa hongera na kheri ya mwaka mpya, ...
Wednesday, December 30, 2015
SERIKALI YAMPA BARAKA ZOTE SAMATTA.
6:28 AM
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo leo imempa baraka zote straika wa TP Mazembe na Taifa Stars, Mbwana Samatta kueleke...
SERIGIO AGUERO ATAKA MANCHESTER CITY IMSAHAU LIONEL MESSI!!!
6:17 AM
Sergio Aguero amezipuuzia ripoti zinazodai Manchester City inaweza ikamsajili Lionel Messi katika usajili wa dirisha la kiangazi. Aguero ms...
ARSENAL YAKARIBIA KUMNASA MOHAMED ELNENY KWA PAUNI MIL. 7.4 …
3:46 AM
Mohamed Elneny anatarajiwa kufanya vipimo vya afya Jumanne hii huko England kuelekea usajili wa kujiunga na Arsenal. Kiungo huyo wa Bas...
Subscribe to:
Posts (Atom)
















