728x90 AdSpace

  • Latest News

      Saturday, December 12, 2015

      CAF YAIPA AZAM FC TIMU YA SAUZ AU SHELISHELI, IKISHINDA NI TUNISIA

       
      Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limeipangia Azam FC kusubiri mshindi kati ya Bidviets Witts ya Afrika Kusini dhidi ya bingwa wa Kombe la FA nchini Shelisheli.

      Azam FC ndiyo wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kushika nafasi ya pili msimu uliopita nyuma ya mabingwa Yanga.

      Bingwa huyo wa FA wa Shelisheli anatarajia kupatikana wikiendi hii.


      Iwapo Azam itashinda mechi yake hiyo ya kwanza, itakutana na vigogo Club Esperance de Tunis ya Tunisia
      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Post a Comment

      Item Reviewed: CAF YAIPA AZAM FC TIMU YA SAUZ AU SHELISHELI, IKISHINDA NI TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown