Ni
wazi kuwa Chelsea inapoteza kabisa uwezo wa kutetea taji lake la Premier League
baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Bournemouth inayopapambana na
janga la kushuka daraja. Ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani - Stamford
Bridge, Chelsea ikazamishwa kwa bao la utata la dakika ya 82 kupitia kwa Glenn
Murray ukiwa ni mpira wake wa kwanza kuugusa tangu aingie uwanjani akitokea
benchi. Bao la Glenn Murray limezua mjadala baada ya mchezaji huyo kufunga
akiwa yeye na wavu huku akionekana wazi alikuwa ameotea.
Chelsea iko nyuma kwa pointi 14 kutoka kwa Manchester United inayoshikilia nafasi ya nne na ingawa timu kubwa bado hazijaonyesha njaa ya kusaka taji, lakini inahofiwa kuwa mabingwa hao watetezi wanaweza wakakosa hata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Kipa namba moja wa Chelsea Courtois aliyekuwa majeruhi kwa miezi kadhaa, amerejea uwanjani lakini uwepo wake haukumsaidia kocha Jose Mourinho kupokea kipigo cha nane msimu huu kwenye Premier League. Kwa mara nyingine tena mshambuliaji tegemeo wa Chelsea Diego Costa, alianzia benchi kabla ya kuingia dakika ya 46 kuchukua nafasi ya Oscar. Chelsea: Courtois, Ivanovic, Zouma, Cahill, Baba (Traore, 82), Fabregas (Remy 82), Matic, Willian, Oscar (Costa 46), Pedro, Hazard Bournemouth: Boruc, Smith, Francis, Cook, Daniels, Surman, Ritchie, Gosling, Arter, Stanislas, King (Murray 79)
Tazama picha hapo chini.....
Glenn
Murray akiifungia Bournemouth dakika ya 82
Glenn Murray akiifungia Bournemouth dakika ya 82
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/12/chelsea-sikio-la-kufa-bao-la-utata.html Copyright © saluti5 |
Chelsea iko nyuma kwa pointi 14 kutoka kwa Manchester United inayoshikilia nafasi ya nne na ingawa timu kubwa bado hazijaonyesha njaa ya kusaka taji, lakini inahofiwa kuwa mabingwa hao watetezi wanaweza wakakosa hata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Kipa namba moja wa Chelsea Courtois aliyekuwa majeruhi kwa miezi kadhaa, amerejea uwanjani lakini uwepo wake haukumsaidia kocha Jose Mourinho kupokea kipigo cha nane msimu huu kwenye Premier League. Kwa mara nyingine tena mshambuliaji tegemeo wa Chelsea Diego Costa, alianzia benchi kabla ya kuingia dakika ya 46 kuchukua nafasi ya Oscar. Chelsea: Courtois, Ivanovic, Zouma, Cahill, Baba (Traore, 82), Fabregas (Remy 82), Matic, Willian, Oscar (Costa 46), Pedro, Hazard Bournemouth: Boruc, Smith, Francis, Cook, Daniels, Surman, Ritchie, Gosling, Arter, Stanislas, King (Murray 79)
Tazama picha hapo chini.....
Ni wazi kuwa Chelsea
inapoteza kabisa uwezo wa kutetea taji lake la Premier League baada ya
kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Bournemouth inayopapambana na
janga la kushuka daraja.
Ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani - Stamford Bridge, Chelsea
ikazamishwa kwa bao la utata la dakika ya 82 kupitia kwa Glenn Murray
ukiwa ni mpira wake wa kwanza kuugusa tangu aingie uwanjani akitokea
benchi.
Bao la Glenn Murray limezua mjadala baada ya mchezaji huyo kufunga akiwa
yeye na wavu huku akionekana wazi alikuwa ameotea.
Chelsea iko nyuma kwa pointi 14 kutoka kwa Manchester United
inayoshikilia nafasi ya nne na ingawa timu kubwa bado hazijaonyesha njaa
ya kusaka taji, lakini inahofiwa kuwa mabingwa hao watetezi wanaweza
wakakosa hata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
Kipa namba moja wa Chelsea Courtois aliyekuwa majeruhi kwa miezi kadhaa,
amerejea uwanjani lakini uwepo wake haukumsaidia kocha Jose Mourinho
kupokea kipigo cha nane msimu huu kwenye Premier League.
Kwa mara nyingine tena mshambuliaji tegemeo wa Chelsea Diego Costa,
alianzia benchi kabla ya kuingia dakika ya 46 kuchukua nafasi ya Oscar.
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Zouma, Cahill, Baba (Traore, 82), Fabregas
(Remy 82), Matic, Willian, Oscar (Costa 46), Pedro, Hazard
Bournemouth: Boruc, Smith, Francis, Cook, Daniels, Surman, Ritchie,
Gosling, Arter, Stanislas, King (Murray 79)
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/12/chelsea-sikio-la-kufa-bao-la-utata.html
Copyright © saluti5
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/12/chelsea-sikio-la-kufa-bao-la-utata.html
Copyright © saluti5
0 comments:
Post a Comment