728x90 AdSpace

Saturday, December 12, 2015

YANGA KUANZA NA TIMU YA MAURITIUS KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAF).

 

Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limeipanga Yanga kuanza na Cercle de Joachim ya Mauritius katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Yanga ndiyo mabingwa wa Tanzania na wawakilishi katika Ligi ya Mabingwa ambayo ni michuano mikubwa zaidi kwa ngazi ya Vilabu.


Kwa mujibu wa ratiba ya Caf, iwapo Yanga itaishinda timu hiyo ya Mauritius, itakutana na mshindi kati ya Mbabane Swallows ya Swaziland na APR ya Rwanda.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: YANGA KUANZA NA TIMU YA MAURITIUS KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAF). Rating: 5 Reviewed By: Unknown