A ntoni Conte anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu k atika klabu ya Chelsea wenye thamani ya pauni milioni 18 na kuthibitishwa...
Tuesday, March 15, 2016
ALICHOKISEMA PER MERTESACKER KUELEKEA MCHEZO WAO NA FC BARCELONA TAYARI NIMEKUWEKEA HAPA:
7:15 AM
PER mertesacker amesema Arsenal inakwenda Nou Camp kwa kazi moja tu ya kufanya maajabu na kuwachapa Barcelona katika mechi ya marudiano...
HII NI MPYA KUTOKA KWA ANDY Feat YD-SIMAMA(AUDIO).
6:58 AM
Ni Wimbo unaovutia ukiwa unausikiliza kutoka kwa Msanii " ANDY " Akimshirikisha YD kutoka Jijini Mwanza wimbo unaitwa SIM...
Sunday, March 13, 2016
Rais Magufuli kateua Wakuu wapya wa mikoa… yumo na Paul Makonda, orodha kamili ninayo hapa
5:26 AM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara ambapo kati ...
Udaku unaosambaa kuwa Diamond amepima DNA na Mwanae ni kweli? majibu je?.
5:16 AM
Sometimes ‘Wambea’ huwa na data kamili, lakini hufikisha bila ruhusa, udaku hua unasababisha mivurugano lakini kuna udaku mwingine hu...
Mshambuliaji wa Kenya anayechezea Ulaya asifiwa.
5:04 AM
Kocha wa timu ya IF Djurgarden Per Pelle Olsson amemsifu aliyekuwa mshambuliaji wa kilabu ya Gor Mahia Michael Olunga baada ya kufunga b...
Taylor amshauri Selena kupata ‘boifrendi’ wa ukweli.
5:00 AM
STAA wa Pop, Taylor Swift yupo kwenye furaha juu ya uhusiano wake, lakini anataka kuona rafiki yake wa ukweli, Selena Gomez naye akiwa ka...
Subscribe to:
Posts (Atom)






