Meli kubwa zaidi duniani imekamilika ikiwa na ukubwa wa viwanja vinne vya mpira wa miguu Meli hiyo iliyopewa jina la ‘Harmony Of The Seas’ imechukua miezi 32
mpaka kumaliza kutengenezwa.
Ina vyumba 2747, mabwawa 23 ya kuogelea,
hoteli na bar, sehemu za michezo, viwanja vya helkopta lakini pia ina
uwezo wa kuchukua abiria 6780.
Aidha gharama za kusafiri na meli hiyo ni £900 lakini kuingia mpaka
sehemu za starehe inagharimu £2,760 kwa mtu mmoja. Watengenezaji wa meli
hiyo wamesema ‘Harmony Of The Seas’ ni meli yao ya 25 kwenye kampuni
Royal Caribbean International fleet.
Picha zaidi hapa chini.
0 comments:
Post a Comment