728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, January 25, 2016

    COMMON YUKO TAYARI KUFANYA KOLABO NA MKE WA RAIS OBAMA.


    Rapper wa Chicago, Common, amesema yupo tayari kufanya kolabo na mke wa Rais Obama, bibie Michelle Obama kama atakubali.

    Common mara nyingi amekuwa akifanya ‘ngoma’ na watu ambao hawajajikita sana kwenye ‘game’ ya muziki.

    Akizungumza na TMZ common amesema, Idea ya kufanya wimbo na Michelle ni nzuri na yupo tayari kuingia nae studio kwa manufaa ya wakazi wa Chicago.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: COMMON YUKO TAYARI KUFANYA KOLABO NA MKE WA RAIS OBAMA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top