728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, January 25, 2016

    Shabiki alivyomvamia Justin Bieber chumba cha kubadilishia nguo… (Video)

    Kila mtu amekuwa na ushabiki na staa ama mtu yeyote ambaye amekua akivutiwa naye kwa kile anachokifanya.
    Shabiki huyu mwanamke wa Justin Bieber aligeuka kivutio wakati wa shoo ya Ellen Degeneres wakati ikitaka kuanza ambapo mtangazaji alitangaza kuwa kwenye kipindi atakuwa na staa huyo.
    Alichofanya baada ya mtangazaji kutangaza mgeni wa show ni Justin Bieber, shabiki huyo alitoka nyuma alipokuwa amekaa na kuanza kupiga kelele huku akikimbia mbele na kwenda moja kwa moja kwenye chumba alichokuwa akibadilisha nguo msanii huyo.

    Tizama video hapa chini ujionee....
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Shabiki alivyomvamia Justin Bieber chumba cha kubadilishia nguo… (Video) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top