728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, January 1, 2016

    Manchester city wachezaji waliopo wanatosha Amesema Pellegrin.

    Kocha wa klabu ya Manchester city Mannuel Pellegrin Amekuwa mmoja kati ya Makocha wanaoamini kikosi kilichopo kinamtosha katika mzunguko wa pili wa ligi kuu uingereza na kusema kuwa hana mpango wa kuongeza usajili mpya katika dirisha dogo litakaloanza mapema mwezi January.

    Mmiliki wa klabu hiyo pamoja na kocha Pellegrin wanaamini kuwa uwepo wa wachezaji wao kama Kevin De Bruyne na Raheem Sterling  pamoja na mlinzi wao Nicolas Otamendi utawasaidia kutwaa taji la EPL.



    "kiukweli naamini nguvu tuliyo nayo inatosha Pellegrini hivyo tunajiandaa wikiendi hii kuwafata Watford"alisema
    Pellegrin.

    Manchester city iko nyuma zaidi ya pointi tatu dhidi ya Arsenal na
    Leicester City wakati msimu wa kwanza ukielekea mapumzikoni licha ya hivyo Man city wanakabiliwa na tatizo la wachezaji wao kuwa majeruhi ambao ni kepteni Vicent Kompany ambaye atakosa zaidi ya nusu ya msimu, Samir nasri.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Manchester city wachezaji waliopo wanatosha Amesema Pellegrin. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top