728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, January 25, 2016

    FEROOZ KUANZIA MWEZI WA PILI MASHABIKI WATANISIKIA TENA.



    Msanii wa muziki aliyewahi kutamba na ‘mikwaju’ mikali kitambo, Ferooz amesema mwaka huu 2016 atasikika sana kwenye anga la muziki.

    Ferooz ameiambia Bongo 5 kuwa, mbali na shughuli nyingine anazozifanya huwa anapata muda wa kurekodi nyimbo.
    “Kuanzia mwezi wa pili katikati au mwishoni nahisi mashabiki wangu wataanza kunisikia Mungu akipenda” alisema.

    Kuhusu kundi lao la kitambo la Daz Nundaz, amesema ni ngumu wao kufanya kazi tena bila kuwa na uongozi wa kuwasimamia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: FEROOZ KUANZIA MWEZI WA PILI MASHABIKI WATANISIKIA TENA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top