Habari best wangu wa ukweli najua utakuwa kati ya wale ambao wameukaribisha mwaka 2016 kwa shangwe kubwa hongera na kheri ya mwaka mpya, licha ya kuanza kwa mwaka 2016 ila
mwaka 2015 ulikuwa na mambo mengi ya kukumbukwa katika kila kitu kutana na matukio ya kipuuzi kati ya waamuzi na wachezaji.
Hapa ninayo furaha kukualika utizame matukio ya kipuuzi yaliyowahi kutokea katika tasnia ya mpira wa miguu best wangu wa ukweli karibu hapa chini ili uweze kutazama dakika kumi na tatu za Players Vs Referees Craziest Football Fights.
...............................................................................................................

Tazama video hapa chini.
...............................................................................................................
SOGEA KARIBU YANGU ZAIDI Kwani NI ZAMU YAKO KUJIUNGA NAMI KUPITIA FB TWETTER INSTAGRAM@MussaNkoningo Ni JUKUMU LANGU KUKUHABARISHA KUKUBURUDISHA NA KUKUELIMISHA PIA.
===============================================

0 comments:
Post a Comment