728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, December 12, 2015

    BRIX THE CHEF AMSHIKA WIZI 50 CENT



    RAPA machachari Brix The Chef, ameibuka na kumshutumu 50 Cent akisema amemuibia wimbo wake mpya alioufanyia Sonny Digital. Brix The Chef amesema anasikitika kuona gwiji huyo akishindwa kuwa muungwana wa kuketi naye na kuzungumza kama angekuwa anautaka wimbo huo na badala yake kuamua kumuibia. Alisema, inamuuma sana kwa kuwa pindi msanii mkubwa kama 50 Cent akitoa kitu wewe ukitoa tena hata kama ndie mwenye umiliki wa kazi hiyo utaonekana unakopi tu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BRIX THE CHEF AMSHIKA WIZI 50 CENT Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top