728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, December 30, 2015

    SERIGIO AGUERO ATAKA MANCHESTER CITY IMSAHAU LIONEL MESSI!!!


    Sergio Aguero amezipuuzia ripoti zinazodai Manchester City inaweza ikamsajili Lionel Messi katika usajili wa dirisha la kiangazi. Aguero mshambuliaji tegemeo wa Manchester City akadai kuwa Messi yuko na furaha Barcelona na itakuwa vigumu kwake kuachana na marafiki zake na Nou Camp.

    Manchester City imekuwa ikihusishwa na usajali wa bei mbaya kwa supastaa huyo mwenye umri wa miaka 28, dili ambayo lingemuunganisha na nyota mwenzake wa Argentina - Sergio Aguero, Hata hivyo Aguero amepunguza kasi ya uvumi huo kwa kuweka wazi imani yake kuwa Messi yuko katika mazingira mazuri ya kuutumikia mkataba wake unaokwenda hadi mwaka 2019.


      
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SERIGIO AGUERO ATAKA MANCHESTER CITY IMSAHAU LIONEL MESSI!!! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top