728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, June 7, 2016

    Belle 9: Lebo ya Vitamin Music bado haijaanza kusajili wasanii.


    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Belle 9, amefunguka na kudai kuwa Lebo yake ya Vitamin Music kwa sasa inamsimamia yeye pekee bado hawajaanza kusajili wasanii wengine.

    Akiongea na Metro Fm, Belle amesema wapo katika mchakato wa kuiboresha kwanza na baada ya muda kidogo watatangaza wasanii watakao kuwa chini ya Vitamin Music.

    “Tumeanza rasmi mwaka jana lakini kwa sasa nipo mimi pekee, tunapenda kufanya mambo yakiwa tayari ndiyo tuyaweke wazi” Alisema.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Belle 9: Lebo ya Vitamin Music bado haijaanza kusajili wasanii. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top