728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, June 10, 2016

    Malaika: Tayari kuna watu kutoka Norway wanataka kunisimamia.


    Msanii wa Kike wa Bongo Flava, Malaika, amesema kwa sasa hana uongozi unaesimamia muziki wake ila tayari kuna watu kutoka Norway wameonyesha shauku ya kutaka kumsimamia.

    Akiongea kupitia kipindi cha Hatua Tatu asubuhi hii, Malaika amedai hakuwahi kuwa na Meneja kabla na hata sasa.

    “Sikuwahi kuwa na meneja tangu naanza muziki, wapo tu wanaonisapoti yani hata wewe ukiupenda muziki wangu unanisapoti, ila kuna watu wa Norway wapo ikiwa tayari nitawajulisha” Alisema.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Malaika: Tayari kuna watu kutoka Norway wanataka kunisimamia. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top