728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, June 12, 2016

    TBN_MUSSA NKONINGO INAKUTAKIA RAMADHANI MUBARAAK.

     
    leo ni funga ya tano, Mussa Nkoningo.blogspot.com inakutakia Ramadan Mubarak ndugu Muislamu. Kumbuka Funga si kulizuia kundi la watu dhidi ya kula. Hapana, Hakika ya funga ni funga ya viungo dhidi ya kufanya madhambi.

    Funga ni Kuuzuia ulimi dhidi ya maneno yasiyokuwa na faida. Ni kuhifadhi masikio dhidi ya kusikia mambo ya haramu. Ni kuhifadhi macho dhidi ya kuangalia haramu. Ni kuizuia miguu dhidi ya kuelekea katika mambo ya haramu.kutosema uongo mbele kuswali swala tano. Ibun Qayyim-rahimahu LLAH-
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TBN_MUSSA NKONINGO INAKUTAKIA RAMADHANI MUBARAAK. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top