728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, August 30, 2015

    AREJEA ULINGONI BAADA YA UKIMYA WA MIAKA MIWILI NA KUMTWANGA KWA KO MAYORGA.

     
    Bondia Mwenye umri wa miaka 43, Shane Mosley (kushoto) ameshinda kwa kumtwanga Ricardo Mayorga kwa knockout (KO) raundi ya sita jana.
    BONDIA Shane 'Sugar' Mosley amerejea ulingoni kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2013 na kumshinda kwa Knockout (KO) raundi ya sita mpinzani wake Ricardo Mayorga katika pambano la marudiano baina ya wababe hao jana.
    Hilo linakuwa pambano la 48 kwa bondia huyo mwenye umri wa miaka 43 sasa, Mosley akiwa amepoteza tisa na sare moja moja, 40 yote akishinda kwa KO baada ya kumkalisha chini Mayorga dakika ya pili na sekunde ya 59.
    Hilo linakuwa pambano la tisa kwa Mayoga mwenye umri wa 41 kupoteza baada ya mapambano 31 akitoa sare pia moja likiwemo alilopigwa na Shane tena walipokutana mara ya kwanza miaka saba iliyopita
    PICHA ZAIDI HAPA CHINI....




     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AREJEA ULINGONI BAADA YA UKIMYA WA MIAKA MIWILI NA KUMTWANGA KWA KO MAYORGA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top