728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, August 29, 2015

    Watuhumiwa wa vifo Austria kortini.

    Loli linalodaiwa kubeba miili ya wahamiaji waliokufa

    Watu wanne waliotiwa mbaroni baada ya miili ya watu sabini moja ya wahamiaji kupatikana kwenye lori nchini Austria wanatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Hungary leo.
    Watuhumiwa hao wanne raia watatu Bulgaria mmoja raia wa Afghanstan akiwemo mmiliki wa gari na madereva wawili.
    Timu ya wataalamu wa utambuzi mjini Viena wanaendelea kufanya uchunguzi wa baadhi ya miili na wengine wanawasili kutoka katika magari yenye jokovu kutokea Nickelsdorf mahali ambapo gari lililokuwa na miili lilipogundulika.
    Waliokufa ni pamoja na watoto wadogo wenye umri chini ya miaka miwili.
    Inasadikiwa waliokufa walitokea nchini Syria
    BBC
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Watuhumiwa wa vifo Austria kortini. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top