728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, August 29, 2015

    SIMBA WAPOKEA KICHAPO CHA KWANZA CHINI YA KOCHA KERR ZANZIBAR.

    JKU wakishangilia ushindi dhidi ya simba.

    Timu ya JKU leo imevunja mwiko wa kocha wa simba sc toka uingeleza Danny Kerr wakutofungwa katika michezo aliyoiongoza Simba SC baada ya kuwafunga goli 2-0 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa Amani Zanzibar.  
    Katika mchezo wa leo JKU walipata magoli yao katika dakika ya 42 na 72, huku goli la kwanza likifungwa na Mbaraka Chande na la pili kufungwa na Mbaruku.
    Kabla ya mchezo wa leo kocha Danny Kerr alikuwa bado ajapoteza mchezo katika michezo aliyoiongoza Simba SC.
    KIKOSI CHA SIMBA.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SIMBA WAPOKEA KICHAPO CHA KWANZA CHINI YA KOCHA KERR ZANZIBAR. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top