728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, August 25, 2015

    CAMERA YAMTIA UPOFU MTOTO WA MIEZI MITATU.


    Mtoto mwenye miezi mitatu ameachwa na upofu wa jicho moja baada ya rafiki wa familia kusahau kuzima mwanga wa simu wakati wa kumpiga picha ya karibu. Madaktari wamesema mtoto huyo mwenye miezi mitatu, ambaye hajatajwa kwa jina, amepata madhara hayo kutoka kwenye flash ya camera, ambayo ilishikwa umbali wa inchi 10 kutoka kwa mtoto huyo wa kiume. Mwanga huo uliharibu seli za makula kwenye baadhi ya sehemu za jicho lake moja Wazazi waligundua kwamba kulikuwa na tatizo la kuona kwa mtoto huyo muda mchache baada tu picha hiyo kupigwa, People’s Daily Online iliripoti.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: CAMERA YAMTIA UPOFU MTOTO WA MIEZI MITATU. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top