728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, August 22, 2015

    SIASA Dakika 15 za Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye alivyotangaza kujiunga UKAWA.. (+Audio)


    Stori za Siasa na uzito wake, zinatufikia mpya kila siku na kila mpya inayonifikia na mimi nakusogezea… hii imenifikia dakika chache zilizopita kutoka Bahari Beach Dar es Salaam, Ukumbi uleule ambao July 28 2015 Mbunge wa Monduli anayemaliza muda wake na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza kujiunga CHADEMA, leo Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye naye ametangaza kujiunga na Umoja wa Vyama vya UKAWA.
    MMGL0986
    Mawaziri Wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye.
    Frederick Tluway Sumaye ametumikia miaka kumi kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu wakati Mzee Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania kuanzia mwaka 1995 mpaka 2005… kwenye nilichomnukuu wakati akitangaza uamuzi huo kuna hizi sentensi pia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SIASA Dakika 15 za Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye alivyotangaza kujiunga UKAWA.. (+Audio) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top