728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 28, 2016

    Mapya Kutoka kwa Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita, Na madudu ya UDA.

    Meya wa Jiji la Dar es salaam,Isaya Mwita,amemuomba,Rais John Magufuli,kumulika uozo uliopo ndani ya shirika  la Usafiri Dar es salaam (UDA), ili lirudishwe mikononi mwa jiji hilo.

    Akizungumza na waandishi wa habari jana,Mwita alidai mchakato wa uuzaji wa shirika hilo haukuwa halali kutokana na ukiukwaji wa kanuni na taratibu za uuzwaji wake uliofanywa na uongozi wa jiji uliomaliza muda wake.

    Alisema ni vyema shirika hilo likarudishwa mikonono mwa jiji ili kuokoa fedha za wananchi zinazopotea katika shirika hilo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mapya Kutoka kwa Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita, Na madudu ya UDA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top