Moja ya stori ambayo imechukuwa heading zaidi katika show ya Magic Style ni kuhusiana na msanii AY kufungua tamasha ambalo litazunguka Tanzania nzima na ile ishu ya kutengeneza video yake utaratibu wa yote hayo umefikia api hapa ninayo majibu kuhusiana na hilo lakini bila kusahahu msanii mwenye follows wengi zaidi kupitia kurasa ya instagram, hiyo ni stori ya mbele zaidi hapa chini nimekuwekea zote zilizosikika leo agost 24,2015 kupitia CGFMRADIO na MUSSA NKONINGO.
Bofya play kusikiliza.....
0 comments:
Post a Comment