728x90 AdSpace

Wednesday, August 26, 2015

SANAA NA BURUDANI TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO MWAKA HUU NI UCHAGUZI HURU NA WA AMANI TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO MWAKA HUU NI UCHAGUZI HURU NA WA AMANI


Tamasha la 34 la kimataifa la sanaa na utamaduni Bagamoyo, linatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 21 hadi 27 mwaka huu na kaulimbiu ni; "Sanaa na Utamaduni katika Uchaguzi huru na Amani". Vikundi na wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki tamasha hilo la kila mwaka Bagamoyo mkoani Pwani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: SANAA NA BURUDANI TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO MWAKA HUU NI UCHAGUZI HURU NA WA AMANI TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO MWAKA HUU NI UCHAGUZI HURU NA WA AMANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown