Friday, June 10, 2016
Kulingana na
gazeti la Citizen nchini Tanzania, uamuzi huo wa kwenda mahakamani ulitangazwa
na naibu katibu mkuu wa CHADEMA Saumu Mwalimu huko Mwanza.
Inajiri baada ya
mkutano wa siku mbili wa maafisa wakuu wa upinzani wakiongozwa na mwenyekiti wa
kitaifa Freeman Mbowe.
Gazeti hilo
limesema kuwa maafisa wa Chadema na wabunge kadhaa wako katika mji huo wa Ziwa
baada ya kuzuiliwa kufanya mkutano katika eneo la Kahama siku mbili zilizopita.
Maafisa wa polisi
walisema kuwa mkutano huo ulioshirikisha chama cha ACT-wazalendo kinachoongozwa
na Mbunge wa kigoma Zitto Kabwe utapigwa marufuku.
Na siku ya Ijumaa
Bw Malimu amesema kuwa watawasilisha kesi ya kutaka kubadilisha uamuzi huo wa
polisi katika mahakama kuu Mwanza.
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment