Thursday, June 9, 2016
Msanii
mkongwe wa Bongo Fleva, Dudu baya ametoa maoni yake kuhusiana ongezeko la label
za muziki Bongo, ambapo amesema ni jambo zuri ila tatizo wasanii wanaosimamiwa
na label hizo.
Akiongea
kwenye kipindi cha Planet Bongo cha Ea Radio, Dudubaya amesema wasanii wengi wa
bongo wanaingia mikataba wasiyoridhika nayo ili kupata umaarufu na baadaye
wakishafanikiwa wanaanza kuongea maneno machafu kuhusu menejimenti zilizowatoa.
Ametoa
mifano ya Bongo Records enzi Wateule, Dogo janja alivyoondoka TipTop na
kuanza kusema hakuwahi kulipwa chochote pamoja na mifano mingi ya watu
waliojaribu kuanzisha lebel wakaishia njiani.
Ametolea
mifano lebel kama WCB na nyinginezo ambapo ameisema inafanya vizuri lakini
haamini kabisa wasanii wake endapo watadumu
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment