Monday, June 6, 2016
Muigizaji na mrembo Bongo, Faiza Ally amesema hayupo tayari kurudiana
kimapenzi na baba watoto wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini Joseph
‘Sugu’ Mbilinyi, ila yupo tayari kuzaa nae mtoto wa pili.
Akiongea kupitia kipindi cha Kubamba cha Times Fm Jana, bidada huyo
Mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha amedai hamkumbuki Sugu kwa kuwa hakuwa
‘Romantic’ na alizo nazo kwake ni hisia tu za kupata mtoto wa pili na
yeye.
“Sitaki kuzaa na kila Mwanaume, nieleweke wazi sitaki kurudiana na
Sugu ila akinifata akidai anataka tuzae mtoto wa pili nipo tayari”
Alisema.
Katika ‘line’ nyingine Mama Sasha alisema anajutia kitendo chake cha
kutokutumia kinga alipojamiiana na Baba mtoto wake huyo kitendo ambacho
kilisababisha kupata Ujauzito.
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment