"Nilipokuwa Manchester nilikuwa nikikutana na Paul Scholes, Rio Ferdinand na Ryan Giggs tulikuwa tukiambiana usiku mwema na za asubuhi na tulikuwa hatari mno,"
Cristiano aliendelea kuwaambia umoja bila kazi uwanjani ni bure huku akionekana kukerwa na swali aliloulizwa kuwa anachukuliaje kucheza mechi nne ugenini pasipo kufunga bao lolote.
Ronaldo aliwajibu kuwa "Kama unaweza nitajie mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi yangu mimi ugenini ?, Hakuna "
Ronaldo aliondoka kwenye mkutano huo huku akimwacha kocha wake akiendelea.
0 comments:
Post a Comment