728x90 AdSpace

Thursday, February 4, 2016

Chameleone amenunua viatu ‘pea 2’ vyenye thamani ya shilingi milioni 20 za Kibongo.

Jose Chameleone ni msanii wa Uganda, anayewekwa kwenye kundi la wasanii wenye ‘mkwanja’ mrefu Afrika Mashariki.

Mkali huyu juzi kupitia akaunti zake za Instagram na Facebook, ameweka picha za raba zake alizo nunua za Nike Air Mag zenye thamani ya dola za Kimarekani 9000 hadi 12500 sawa na shilingi milioni 20 za Kitanzania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Chameleone amenunua viatu ‘pea 2’ vyenye thamani ya shilingi milioni 20 za Kibongo. Rating: 5 Reviewed By: Unknown