Tuesday, February 16, 2016
Hii inafurahisha kiukweli, ebu vuta picha pale ambapo unakutanishwa na pacha wa mtu wako wa karibu.
Sasa hii imetokea kwa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kama wa mwaka mmoja hivi.
Video iliyowekwa katika mtandao wa Youtube, inamuonesha mtoto huyo
akiwa amebebwa na baba yake huku mbele yake kukiwa na pacha wa Baba
yake.
Mtiti ukaja mtoto huyo kumtambua hasa Baba yake rasmi ni nani?? Itazame hapo chini,
Related Posts
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
Watoto 6 wamefariki wakibatizwa Nchini Zimbabwe
Watoto sita wamekufa maji bila kutarajiwa katika sherehe za kuba...
BAADA YA KUJIRUSHA KUTOKA KWENYE MNARA WA SIMU KILICHOMKUTA NI HIKI.
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la PAULO PASCHAL mwen...
Ripoti Zinasema Mji wa India Umevunja rekodi ya vipimo vya joto.
Mji mmoja katika jimbo la Rajasthan nchini India umevunja rekodi...
MTU ASIYEFAHAMIKA AINGILIA WANAWAKE KINGUVU NYAKATI ZA USIKU.
WANAWAKE wakazi wa mji wa Kigoma, wamekumbwa na taharuki ku...
Haya Ndio Mambo ya kuepuka kabla ya kuoa Kutoka Kwa Sheikh Mussa Salum.
Sheikh amebainisha kwamba mwanamume akioa kwa sababu tuu ya uzu...
SABABU 3 ZA KUWA MAKINI NA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK .
Hizi ni sababu 3 za kuwa makini na hii mitandao ya kijamii....
Hiki Ndicho Kitu Kinachokufanya Ushindwe Kufanikiwa Mara Kwa Mara Katika Maisha Yako.
Moja ya changamoto kubwa ya kushindwa kufanikiwa ni kutokujua u...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment