728x90 AdSpace

Thursday, February 4, 2016

Picha: Nyangumi mwenye ‘Futi 40’ avuliwa India.

Nyangumi mkubwa anayesadikika kufia majini siku 3 kabla ya kuvuliwa, amepatikana mjini Mumbai nchini India katika ufukwe wa Juhu.


Nyangumi huyo mwenye urefu wa futi 40, alipatikana tarehe 31 mwezi wa kwanza 2016.


Mnyama huyu inasemekana ndiyo mnyama wa majini kuvuliwa akiwa na kilo nyingi katika nchi hiyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Picha: Nyangumi mwenye ‘Futi 40’ avuliwa India. Rating: 5 Reviewed By: Unknown