728x90 AdSpace

Wednesday, February 3, 2016

JAMIE VARDY AIFANYIA KITU MBAYA LIVERPOOL IKICHAPWA 2-0 NA LEICESTER CITY.


Jamie Vardy anafunga mabao mawili yanayotosha kuipa kipigo kichungu Liverpool cha bao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England kutoka kwa Leicester City. 

Mshambuliji huyo alifunga dakika ya 60 na 72 na kuifanya Leicester City ijikite kileleni mwa msimamo wa ligi kwa pointi 50.

Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Uingereza February 2
  •  Arsenal 0 – 0 Southampton
  • Leicester City 2 – 0 Liverpool
  • Norwich City 0 – 3 Tottenham Hotspur
  • Sunderland 0 – 1 Manchester City
  • West Ham United 2 – 0 Aston Villa
  • Crystal Palace 1 – 2 AFC Bournemouth
  • Manchester United 3 – 0 Stoke City
  • West Bromwich Albion 1 – 1 Swansea City
    Msimamo jinsi ulivyo EPL tizama hapa chini. 



Jamie Vardy anafunga mabao mawili yanayotosha kuipa kipigo kichungu Liverpool cha bao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England kutoka kwa Leicester City. Mshambuliji huyo alifunga dakika ya 60 na 72 na kuifanya Leicester City ijikite kileleni mwa msimamo wa ligi kwa pointi 50.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/02/jamie-vardy-aifanyia-kitu-mbaya.html
Copyright © saluti5
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: JAMIE VARDY AIFANYIA KITU MBAYA LIVERPOOL IKICHAPWA 2-0 NA LEICESTER CITY. Rating: 5 Reviewed By: Unknown