728x90 AdSpace

Friday, February 26, 2016

UNAKARIBISHWA KUCHEKI NA HII MPYA KUTOKA KWA DIGITAL RAPA ft.COYO MC & NGETA-INAKUAJE(AUDIO).

 Ni Wimbo unaovutia ukiwa unausikiliza. Ni kutoka kwa Msanii "Digital Rapa" kutoka Jijini Mwanza.
Wimbo Unaitwa "INAKUAJE". Wameshirikishwa wakali wengine Kutoka Jijini Mwanza ambao ni Coyo Mc Pamoja na Ngeta. Producer ni P'Sila na Studio ni Acute Studio Jijini Mwanza.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: UNAKARIBISHWA KUCHEKI NA HII MPYA KUTOKA KWA DIGITAL RAPA ft.COYO MC & NGETA-INAKUAJE(AUDIO). Rating: 5 Reviewed By: Unknown