Thursday, February 4, 2016
Hit maker wa ngoma kadhaa zinazofanya poa nchini Nigeria, Ayodeji
Balogun ‘Wizkid’, amedaiwa kuiba wimbo uliofanya vizuri wa ‘Ojuelegba’.
Jamaa ambaye ni rapa kutoka mjini Lagos Ahmedu Augustine
‘Blackface’, amedai kwamba Wizkid amekuwa na tabia ya kuiba nyimbo zake
lakini amekuwa kimya kwa muda mrefu ila sasa ameamua kuvunja ukimya
wake.
“Nilikuwa kimya kwa siku nyingi, lakini kwa sasa nimeona bora niweke
wazi kwa kuwa kwenye wimbo wangu mpya wa ‘Killa’ midundo yake ni kama
wimbo huo wa Wizkid, kitu ambacho sikipendi.
“Hata hivyo, ukiusikiliza wimbo wangu wa ‘Dancehall’ ambao niliuachia
mwaka 2010 unafanana na huu wa Ojuelegba, lakini kikubwa ni kuisikiliza
albamu hiyo kisha utagundua ukweli kuhusu hili. Najua hata yeye
mwenyewe anajua hilo,” aliandika Blackface kupitia mtandao wa Instagram.
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment