728x90 AdSpace

Wednesday, February 17, 2016

LEO 'AMEZALIWA' HAJI BSS WA TWANGA PEPETA.




Mwimbaji wa bendi ya The African Stars "Twanga Pepeta" Haji Ramadhan Makuke maarufu kama Haji BSS, leo ni siku muhimu kwake. Ndiyo siku yake ya kuzaliwa.

Haji alizaliwa tarehe 17 Februari miaka fulani iliyopita katika mji wa Mwanza Bugando Hospital. 

TBN_MUSSANKONINGO inamtakia Haji kila la kheri katika siku hii muhimu kwake.



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: LEO 'AMEZALIWA' HAJI BSS WA TWANGA PEPETA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown