Friday, February 12, 2016
Waandaaji wa Tamasha kubwa la muziki wa ‘live’ la Sauti za Busara
linalofanyika kila mwaka Zanzibar, wametangaza kutokufanyika kwa tamasha
hilo mwaka huu kwa ukosefu wa udhamini.
Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu mmoja wa waandaji hao
Journey Ramadhan, amesema wamekosa wadhamini wa kutoa fedha kwa ajili ya
uendeshaji wa Tamasha hilo.
“Tunaweza kusema ni ukosefu wa udhamini ambao unasababisha tamasha
kutokufanyika mwaka huu, na hali hii ya ikiendelea inawezekana hata 2017
lisifanyike pia” Alisema.
Bwana Ramadhan amewaomba wadau na wapenda sanaa nchini, kujitokeza
kudhamini Tamasha hilo, kwani faida zitokanazo na tamasha hilo ni kubwa
kwa Tanzania.
Related Posts
Donny Roberty Mshindi Miss Mwanza 2016 Tazama Picha hapa chini.
Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,20...
MAONESHO YA BIASHARA ROCK CITY MALL MWANZA.
Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda n...
TFF Yatoa Angalizo Kwenye Msimu Mpya Wa VPL 16-17.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuan...
Sumatra Imesema hakuna usafiri utakaositishwa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imewatoa hofu ...
Hesabu inaendelea Ibra aweka mbili Nyumbani (VIDEO).
Endeleeni kuhesabu, ndiyo lugha rahisi unayoweza kuitumia baada...
Mambo 8 Yatakayokusaidia Kufikia Malengo Yako.
Kila wakati wengi wetu katika maisha, ni watu wa kujiwekea malengo....
Mkurugenzi Atishia Kuitisha Daftari la Mahudhurio saa tisa Usiku sababu Je?
Normal 0 false false false EN-U...
Gwajima atiwa Nguvuni na Polisi Dar, Imekuaje?
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata ...
Baada ya Cameroon huyu ndio kuwa Waziri mkuu wa Uingereza.
Katika saa au siku kadhaa zijazo, Waziri wa maswala ya nda...
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment