728x90 AdSpace

Friday, February 26, 2016

Gari la NAY WA MITEGO Lilivyovunjwa kioo cha nyuma Pichaz.

Nimevunjiwa kioo Cha gari nikiwa njiani naenda kwenye Intrvw Chanel5 EaTv kwa ajili ya kutambulisha my New Video #ShikaAdabuYako sorry Watu wangu mliokua mkisubiri kuona Video Na Intrvw yote nimeshindwa kufika naweka sawa ili. Video itaenda YouTube kesho itakua kwenye Tv yako Pendwa. Muziki sio vita..... I will never stop doing what i do.!!



Picha ya gari ya Nay wa Mitego  iliyovunjwa kioo cha nyuma wakati akienda kutambulisha video ya shika adabu yako hii hapo chini.
 

 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Gari la NAY WA MITEGO Lilivyovunjwa kioo cha nyuma Pichaz. Rating: 5 Reviewed By: Unknown