
Msanii huyo alisema kuwa anatarajia wimbo huo mpya ambao bado hajaupa
jina utapendwa na mashabiki wa miziki wa kizazi kpya kutokana na
mashairi yake kuyapangilia vyema.
“Mei 9 mwaka huu nitaachia wimbo na video ya wimbo wangu mpya ambao
ninaamini kuwa ni mkali kuliko ‘Shika Adabu Yako,” alisema Nay wa Mitego
na kuongeza:
“Ninajua wimbo wa Shika Adabu Yako bado unafanya vizuri,lakini
nimeamua kuandaa mbadala wake baada ya kufungiwa ingawa tayari mashabiki
walishaupata.”
Rapa huyo alisema kuwa Juni atafyatua video ya wimbo mwingine ikiwa
ni mikakati yake ya kuandaa nyimbo mfululizo ili kukidhi kio ya
mashabiki wake.
0 comments:
Post a Comment