728x90 AdSpace

Friday, April 22, 2016

MPYA KUTOKA KWA SHAMMY GOLD INAITWA MIMI NAWE.(AUDIO)


Kutana na mkwaju mpya kutoka kwa mkali kutoka kanda ya ziwa anaitwa SHAMMY GOLD akimshilikisha ZULLY GOLD nyimbo inaitwa  'Mimi nawe' imefanyika BM TOUCH RECORD Chini ya producer Skillz Master ni nyimbo ya pili kutoka kwa shammy gold lakini yeye anaichukulia kama nyimbo ya kwanza kwake kutokana na mashabiki wake jinsi walivyoielewa.

Isikilize hapa chini  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MPYA KUTOKA KWA SHAMMY GOLD INAITWA MIMI NAWE.(AUDIO) Rating: 5 Reviewed By: Unknown