MWANASHERIA
Mkuu wa Serikali ya Trinidad na Tobago ametoa kibali juu ya kesi iliyofunguliwa
na Marekani dhidi ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka
Duniani-FIFA Jack Warner.Warner anatuhumiwa kuhusika kupokea mamilioni ya dola
za kimarekani kama rushwa alipokuwa madarakani.Warner pamoja na maofisa wengine
kumi na watatu wa sasa na wa zamani wa FIFA walifunguliwa mashitaka hayo na
mamlaka ya Marekani tokea mwezi Mei mwaka huu.Warner amekanusha mashitaka
yanayomkabili na wiki iliyopita serikali ya Switzerland ilithibitisha
kuachiliwa kwa kiongozi mwingine wa FIFA Eugenio Figueredo kutoka Uruguay.
Tuesday, September 22, 2015
Related Posts
ULIPITWA; MATOKEO YA ENGLAND VS RUSSIA YAKO HAPA.
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeen...
UFARANSA WAMEANZA KWA USHINDI NYUMBANI DHIDI YA ROMANIA(VIDEO).
June 10 2016 Ufaransa ambao ndio wenyeji wa michuano ya Euro 201...
DAKIKA 29 ZA MESSI AKIFUNGA HAT-TRICK DHIDI YA PANAMA COPA AMERICA(VIDEO)..
Bado michuano maalum ya Copa America 2016 ambayo inatumika kama k...
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment