728x90 AdSpace

Tuesday, September 1, 2015

Wizara ya ujenzi yaridhishwa Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Terminal 3 unao jengwa jijini Dar es salaam

CHANNEL TEN
Mradi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Termanal 3 jijini Dar es salaam unatarajiwa kugharimu zaidi ya euro millioni 235 sawa na shilingi billioni 518 unatarajiwa kuhudumia wasafiri milioni 3.5 kwa mwaka kufikia milioni sita utakapo kamilika kwa awamu zote mwaka  2017 

Bofya play kutazama video...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Wizara ya ujenzi yaridhishwa Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Terminal 3 unao jengwa jijini Dar es salaam Rating: 5 Reviewed By: Unknown