Watu watatu wamefariki
dunia na wengine zaidi ya hamsini kujeruhiwa katika ajali ya basi Scania lenye
namba za usajili T138 AVD, mali ya kampuni ya Sheraton.
Ajali hiyo imetokea
jana majira ya saa tatu asubuhi, ambapo gari hilo lilikuwa linatokea Masumbwe
wilayani Mbogwe mkoani Geita kuelekea Mwanza.
Kamanda wa pilisi mkoa
wa Geita SACP Joseph Konyo amesema jeshi la polisi linaendelea kufuatilia
chanzo cha ajali hiyo na pia amewaomba wamiliki wa vyombo vya usafiri wa abiria
kuhakikisha wanavifanyia uchunguzi wa mara kwa mara na kuhakikisha usalama wa
wasafiri kwa wanaotumia vyombo hivyo.
edwinmoshi.blogspot.com
Watu
watatu wamefariki dunia na wengine zaidi ya hamsini kujeruhiwa katika
ajali ya basi Scania lenye namba za usajili T138 AVD, mali ya kampuni ya
Sheraton.
Ajali
hiyo imetokea jana majira ya saa tatu asubuhi, ambapo gari hilo
lilikuwa linatokea Masumbwe wilayani Mbogwe mkoani Geita kuelekea
Mwanza.
Kamanda
wa pilisi mkoa wa Geita SACP Joseph Konyo amesema jeshi la polisi
linaendelea kufuatilia chanzo cha ajali hiyo na pia amewaomba wamiliki
wa vyombo vya usafiri wa abiria kuhakikisha wanavifanyia uchunguzi wa
mara kwa mara na kuhakikisha usalama wa wasafiri kwa wanaotumia vyombo
hivyo.

0 comments:
Post a Comment