MASHABIKI wa Arsenal wameitaka klabu
hiyo kupitia upya na kufanya marekebisho ya sera zao kufuatia kufanyika kwa
usajili wa golikipa Petr Cech pekee katika usajili wa majira ya kiangazi ambao
dirisha lake lilifungwa jana.
Cech alitua Emirates kwa kitita cha paundi
milioni 10 na kuwa mchezaji pekee aliyesajiliwa na timu hiyo pamoja na kuhitaji
kuimarisha nafasi kadhaa katika sehemu ya kiungo na ushambuliaji.
Ukimya
waliokuwa nao katika dirisha la usajili haukutokana kwasababu ya fedha kwani
mkurugenzi wa Arsenal, Philip Harris aliwahi kukaririwa akidai kuwa klabu hiyo
inaweza kusajili mchezaji yeyote duniani kasoro Cristiano Ronaldo na Lionel
Messi.
Mashabiki hao wa Arsenal wamesema klabu yao iko vizuri kiuchumi na
wanasikitika kwa kushindwa kwao kufanya usajili zaidi mpaka dirisha tayari limefungwa.
Thierry Henry aliyewahi kuwika klabuni hapo |
Taarifa ya mashabiki hao iliendelea kudai kuwa Arsenal imejenga kikosi imara na
nyongeza ya mchezaji mmoja au wawili ingeimarisha zaidi nafasi ya kunyakuwa
taji la Ligi Kuu msimu huu.
Taarifa imesema wakati umefika kwa Arsenal kubadili
sera zake na kuhakikisha wanasajili wachezaji zaidi wa kiwago cha juu kwani kwa
sasa hivi hawana matatizo ya kifedha kama ilivyokuwa awali.
MASHABIKI wa Arsenal
wameitaka klabu hiyo kupitia upya na kufanya marekebisho ya sera zao
kufuatia kufanyika kwa usajili wa golikipa Petr Cech pekee katika
usajili wa majira ya kiangazi ambao dirisha lake lilifungwa jana. Cech
alitua Emirates kwa kitita cha paundi milioni 10 na kuwa mchezaji pekee
aliyesajiliwa na timu hiyo pamoja na kuhitaji kuimarisha nafasi kadhaa
katika sehemu ya kiungo na ushambuliaji. Ukimya waliokuwa nao katika
dirisha la usajili hakutokana kwasababu ya fedha kwani mkrugenzi wa
Arsenal, Philip Harris aliwahi kukaririwa akidai kuwa klabu hiyo inaweza
kusajili mchezaji yeyote duniani kasoro Cristiano Ronaldo na Lionel
Messi. Mashabiki hao wa Arsenal wamesema klabu yao iko vizuri kiuchumi
na wasikitika kwa kushindwa kwao kufanya usajili zaidi mpaka dirisha
li,efungwa. Taarifa ya mashabiki hao iliendelea kudai kuwa Arsenal
imejenga kikosi imara na nyongeza ya mchezaji mmoja au wawili
ingeimarisha zaidi nafasi ya kunyakuwa taji la Ligi Kuu msimu huu.
Taarifa imesema wakati umefika wa Arsenal kubadili sera zake na
kuhakikisha wanasajili wachezaji zaidi wa kiwago cha juu kwani sasa hivi
hawana matatizo ya kifedha kama ilivyokuwa huko nyuma.
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

0 comments:
Post a Comment