728x90 AdSpace

Tuesday, September 15, 2015

Mfahamu muigizaji anayetoka na French Montana



Kama wewe ni mmoja kati ya wapenzi wa filamu za Kimarekani, basi utakuwa unamfahamu na kuvutiwa na actress Sanaa Lethan, aliyeigiza kwenye filamu ya Brown sugar.
mtandao wa TMZ waliwahi kuripoti kuhusu rapper French Montana, kujidai mtaani kwamba anatoka na mrembo huyu.
Sasa akifunguka kubitia kwenye show ya radio ya Big Boy, sanaa amethibitisha kinaga ubaga japo hakuweka wazi jina la French, ila sifa alizozitaja zinarandana hasa na mkali huyo wa Coke Boys.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Mfahamu muigizaji anayetoka na French Montana Rating: 5 Reviewed By: Unknown