728x90 AdSpace

Tuesday, September 15, 2015

HAPATOSHI ULAYA LEO RATIBA NA WIMBO MAALUMU WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NIMEKUWEKEA HAPA.(AUDIO).




MSIMU mpya wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya unatarajiwa kuanza rasmi leo kwa viwanja vinne tofautia kuwaka moto. Katika kundi A, tutashuhudia Paris Saint Germain-PSG wakiikaribisha Malmo ya kutoka Sweden huku Real Madrid wao wakiwa wenyeji wa Shakhtar Donetsk katika mchezo uakaochezwa katika Uwanja wa Santiago Bernabeu. PSV Eindhoven ya Uholanzi watafungua mchezo wao wa kundi B kwa kuikaribisha Manchester United huku nyota wao wa zamani Memphis Depay akirejea kwa mara kwanza toka asajiliwe na wakongwe hao wa Uingereza mapema kiangazi hiki. Mchezo mwingine wa kundi hilo utazikutanisha Vfl Wolfsburg ya Ujerumani watakaoshuka dimbani kumenyana na CSKA Moscow ya Urus

Bofya play kuusikiliza hapa chini.....


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: HAPATOSHI ULAYA LEO RATIBA NA WIMBO MAALUMU WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NIMEKUWEKEA HAPA.(AUDIO). Rating: 5 Reviewed By: Unknown