728x90 AdSpace

Tuesday, September 15, 2015

NINAYO MAKUBWA AMBAYO HUWA YANASIKIKA KUPITIA 89.5 CG FM KWENYE TAARIFA YA HABARI.(AUDIO)



HABARI SEPTEMBA 16, 2015

IMETIMIA SAA KUMI KAMILI JIONI

PLAY JINGLE ……….MWANZO

HII NI TAARIFA YA HABARI KUTOKA CG FM

MSOMAJI NI FLORENTINA NYAMBUKA

KWANZA NI MUHTASARI WAKE

LINK……….MUHTASARI
 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa –TAKUKURU mkoani TABORA imetakiwa kuwafikia wananchi wa vijijini  kuwapa elimu kuhusu vitendo vya rushwa katika uchaguzi.



===

Wananchi wanaoponda kokoto eneo la FILTA katika kata ya KITETE,Manispaa ya TABORA wameagizwa kusitisha shughuli hiyo ili kunusuru uharibifu wa matanki ya maji yaliyopo eneo hilo.

===

Na katika habari za Kimataifa, MISRI imesema jeshi lake limeua raia 12 kwa bahati mbaya,wakiwemo watalii kutoka MEXICO wakati wa operesheni ya kupambana na ugaidi.



HABARI KAMILI
Bofya play kusikiliza hapa chini....
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: NINAYO MAKUBWA AMBAYO HUWA YANASIKIKA KUPITIA 89.5 CG FM KWENYE TAARIFA YA HABARI.(AUDIO) Rating: 5 Reviewed By: Unknown