728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, February 2, 2016

    WOLPER;TUDUMISHE UPENDO ENZI ZA UHAI WETU;

    Mrembo wa filamu za kibongo nchini,Jacqueline Wolper,amewataka Watanzania kuoneshana upendo na si kusubiri hadi mtu akifariki dunia.

    Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram aliandika:” Utatamani niamke walau usikie sauti yangu lakini utakuwa tayari umeshachelewa kilio,huzuni,simanzi na majonzi zitakuwa zikitanda katika kuta za moyo wako”.
    Itakuwa kama ndoto pale moyo wake utakapozima kama mshumaa uliopulizwa kwa upepo.

    Alisema chura anajua umuhimu wa maji baada ya maji kukauka hivyo halitakuwa jambo jema kwa watanzania kusubiri kuonyeshana upendo mara baada ya mtu kupotea katika ulimwengu.

    Wolper alisema anawaomba watanzania kuendelea kufuraishana hasa wakati wa maisha ya kawaida duniani.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WOLPER;TUDUMISHE UPENDO ENZI ZA UHAI WETU; Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top